John Ngollo
John Ngollo
  • 1 856
  • 5 136 487

Відео

WAZIRI MAVUNDE ATHIBITISHA MGODI WA BUZWAGI KUFUNGWA NA KUGEUZWA KUWA ECONOMIC ZONE.
Переглядів 12111 годин тому
#mavunde #bungeni
🔴#live KIGWANGALA AANGUA KICHEKO BUNGENI PUSHAPU ZA WAZIRI NCHEMBA MBUNGE WA MANONGA AKICHANGIA.
Переглядів 1,8 тис.13 годин тому
#bungeni #kigwangala
🔴#live KIGWANGALA AIBUA HOJA MPYA SAKATA LA MPINA NA BASHE KUHUSU SUKARI AMTETEA BASHE.
Переглядів 1,1 тис.4 години тому
#kigwangala #mpina #bungeni
WAITARA ACHARUKA BUNGENI TUNA RAIS WA MASHOGA HAPA NCHINI, WATAJWE WAKAMATWE WAHOJIWE.
Переглядів 9 тис.4 години тому
WAITARA ACHARUKA BUNGENI TUNA RAIS WA MASHOGA HAPA NCHINI, WATAJWE WAKAMATWE WAHOJIWE.
🔴#live TUNDU LISSU NA LEMA WATOA DARASA KWA WAMASAI ACHENI UJINGA HII NCHI NI YENU MMEPEWA NA BABA.
Переглядів 5 тис.7 годин тому
🔴#live TUNDU LISSU NA LEMA WATOA DARASA KWA WAMASAI ACHENI UJINGA HII NCHI NI YENU MMEPEWA NA BABA.
🔴#live MBOWE AMTOLEA UVIVU WAZIRI ALIEMZUSHIA MANENO KWA RAIS SAMIA ASEMA CHADEMA NI CHAMA IMARA.
Переглядів 6 тис.7 годин тому
🔴#live MBOWE AMTOLEA UVIVU WAZIRI ALIEMZUSHIA MANENO KWA RAIS SAMIA ASEMA CHADEMA NI CHAMA IMARA.
TUKIO LA MBOWE KURUKA KWENYE HELKOPTA KARATU AAMBIWA NA WATU AMEDHIHIKISHA YEYE NI KAMANDA WA ANGA.
Переглядів 6 тис.9 годин тому
TUKIO LA MBOWE KURUKA KWENYE HELKOPTA KARATU AAMBIWA NA WATU AMEDHIHIKISHA YEYE NI KAMANDA WA ANGA.
MAPYA YAIBUKA! BAADA YA MAKONDA KUMTUMBUA MTENDAJI "ALIFANYA TUKIO AMBALO NI SAHIHI ANAMAMLAKA HAYO"
Переглядів 2,4 тис.9 годин тому
MAPYA YAIBUKA! BAADA YA MAKONDA KUMTUMBUA MTENDAJI "ALIFANYA TUKIO AMBALO NI SAHIHI ANAMAMLAKA HAYO"
BALAA! KAULI YA MBUNGE KUTUMIA NENO MJINGA BUNGENI LAZUA GUMZO MSUKUMA AMTAKA AWATAJE WANAHUSIKA.
Переглядів 39 тис.12 годин тому
BALAA! KAULI YA MBUNGE KUTUMIA NENO MJINGA BUNGENI LAZUA GUMZO MSUKUMA AMTAKA AWATAJE WANAHUSIKA.
PROF KABUDI ASHUSHA NONDO NZITO BUNGENI AMSHAURI MWIGULU CHAKUFANYA BAADA KUSOMA BAJETI KUU
Переглядів 75812 годин тому
PROF KABUDI ASHUSHA NONDO NZITO BUNGENI AMSHAURI MWIGULU CHAKUFANYA BAADA KUSOMA BAJETI KUU
KIVUMBI! DR MWIGULU ASHINDWA KUVUMILIA AMJIBU ESTER BULAYA KUHUSU MFUKO WA WASTAAFU.
Переглядів 1,6 тис.14 годин тому
KIVUMBI! DR MWIGULU ASHINDWA KUVUMILIA AMJIBU ESTER BULAYA KUHUSU MFUKO WA WASTAAFU.
DAKIKA 18 ZA MRISHO GAMBO NA BABU TALE ZATIKISA BUNGE WATOA POINTI NZITO PAJETI YA SERIKALI/MIPANGO
Переглядів 3,4 тис.14 годин тому
DAKIKA 18 ZA MRISHO GAMBO NA BABU TALE ZATIKISA BUNGE WATOA POINTI NZITO PAJETI YA SERIKALI/MIPANGO
BALAA! MBUNGE WA CHADEMA AGOMA KUCHANGIA BAJETI YA SERIKALI ATAKA MAJIBU KUHUSU DENI LA TAIFA.
Переглядів 11 тис.16 годин тому
BALAA! MBUNGE WA CHADEMA AGOMA KUCHANGIA BAJETI YA SERIKALI ATAKA MAJIBU KUHUSU DENI LA TAIFA.
SAKATA LA TOZO BANDARINI LATIKISA BUNGENI,WAHASIWE,KWANINI UNAWEKA PESA KWENYE GESI,VIWANDA VIJIJIN.
Переглядів 2,1 тис.16 годин тому
SAKATA LA TOZO BANDARINI LATIKISA BUNGENI,WAHASIWE,KWANINI UNAWEKA PESA KWENYE GESI,VIWANDA VIJIJIN.
BUNGENI HAPATOSHI MSUKUMA ACHACHMAA TUTASHIKANA MASHATI HUMU NDANI,KARIAKOO,MNATUMIA KALUKULETA GANI
Переглядів 6 тис.16 годин тому
BUNGENI HAPATOSHI MSUKUMA ACHACHMAA TUTASHIKANA MASHATI HUMU NDANI,KARIAKOO,MNATUMIA KALUKULETA GANI
HAPATOSHI BUNGENI GWAJIMA AWATOLA UVIVU MWIGULU NA PROF MKUMBO KWANINI BAJETI YA SERIKALI IWE MWISHO
Переглядів 2,1 тис.19 годин тому
HAPATOSHI BUNGENI GWAJIMA AWATOLA UVIVU MWIGULU NA PROF MKUMBO KWANINI BAJETI YA SERIKALI IWE MWISHO
RAIS SAMIA ATOA TAMKO KWA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA ASISITIZA WELEDI
Переглядів 81519 годин тому
RAIS SAMIA ATOA TAMKO KWA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA ASISITIZA WELEDI
🔴#live TAARIFA YA WAZIRI NAPE KWA WAANDISHI WOTE WAHABARI WOTE NCHINI KUZINGATIA WELEDI KWENYE KAZI
Переглядів 77319 годин тому
🔴#live TAARIFA YA WAZIRI NAPE KWA WAANDISHI WOTE WAHABARI WOTE NCHINI KUZINGATIA WELEDI KWENYE KAZI
KIVUMBI! CHADEMA WAIBUA UPYA SAKATA LA BANDARI HECHE ATOA MACHOZI JUKWAANI AWALIPUA VIBAYA CCM.
Переглядів 1,6 тис.19 годин тому
KIVUMBI! CHADEMA WAIBUA UPYA SAKATA LA BANDARI HECHE ATOA MACHOZI JUKWAANI AWALIPUA VIBAYA CCM.
LISSU AMLIPUA BASHE HADHARANI SAKATA LA SUKARI "ALIDANGANYA HAFUKUZWE PAMOJA NA WENZAKE WALIOHUSIKA.
Переглядів 66619 годин тому
LISSU AMLIPUA BASHE HADHARANI SAKATA LA SUKARI "ALIDANGANYA HAFUKUZWE PAMOJA NA WENZAKE WALIOHUSIKA.
KIVUMBI! MBOWE ACHUKIZWA NA TAARIFA ZA UONGO ZA WANACHADEMA MADAI YA KUGOMBA NA TUNDU LISSU AKANUSHA
Переглядів 15 тис.21 годину тому
KIVUMBI! MBOWE ACHUKIZWA NA TAARIFA ZA UONGO ZA WANACHADEMA MADAI YA KUGOMBA NA TUNDU LISSU AKANUSHA

КОМЕНТАРІ

  • @Ba63828
    @Ba63828 29 хвилин тому

    Owiiiiii

  • @user-zq8vf4kj8b
    @user-zq8vf4kj8b 56 хвилин тому

    Hii ndiyo iliyopo bandarini ukweli tra bandari ya daresalama wanafanya kufuru

  • @pwaniseries
    @pwaniseries 59 хвилин тому

    Yote haya ameyaleta mwenda zake bungeli halina changamoto unategemea hapo usikie nani anasema hapana wakati Wabunge wote ni wachama kimoja

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 Годину тому

    Well said

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 Годину тому

    Ndiyo

  • @JoshuaKamusiara
    @JoshuaKamusiara 2 години тому

    Kweli kabisa kiongozi bora mpendwa wetu

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 2 години тому

    Bunge la ndio MUNGU tusaidie

  • @user-fx6zr6ij5y
    @user-fx6zr6ij5y 2 години тому

    Wabunge wa mchongo kwa ubora wao 😂😂😂

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 3 години тому

    Bunge dhaifu la ndio Kila kitu unaliona tuuu duuu kweri mazuzu

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 6 годин тому

    Mmefunga Mgodi wa Buzwagi kwa sababu madini yamekwisha au vipi. Kama ni hivyo serikali au taifa letu limepata nini toka huo mgodi ulipofunguliwa.

  • @talefilmsa8768
    @talefilmsa8768 8 годин тому

    Wana Simba tuko wapi????

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 9 годин тому

    Mbunge akimaliza muda wake .anaondoka na mzigo wake wote.Mtumishi wa umma ni kafara

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 10 годин тому

    Kwa nini uunge hoja mkono wakati ahadi haijatimizwa na mwaka ujao ni uchaguzi?. Maana yake na wewe ni mbunge tapeli

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 13 годин тому

    Wamasai wanateseka wewe unasifia

  • @user-jk2ct9um1f
    @user-jk2ct9um1f 14 годин тому

    Sendeka unaenda lini Handeni

  • @endwardntandu3736
    @endwardntandu3736 18 годин тому

    Mwigulu utatuingiza kwenye mambo magumu sanabmtani

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 22 години тому

    Huyu anaogopa baada ya CHADEMA kuanzisha hiyo maada, anangata na kupuliza. Kwa nini asingesema hayo toka zamani.

  • @nestoryvunja7509
    @nestoryvunja7509 23 години тому

    ❤❤❤❤❤. Tunaomba maabara za shule ya sekondari Loiborsiret uzipambanie please. Shule haina maabara ya physics na biology. Please we trust you, work on it.

  • @Bihagaze
    @Bihagaze 23 години тому

    Ujanja Kupata, wengine wanakomaa na betting na KAMALI wengine wako wanapiga Kazi na WANANCHI.. 😮

  • @calvinsande5116
    @calvinsande5116 День тому

    Mbunge ni mmoja tu nae ni mpina hao wengine ni machawa tu

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 День тому

    Balikiwa sana mtumishi wa Mungu baliki

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x День тому

    Kweli kabisa mwapie ✌️❤️🇹🇿

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda День тому

    Mwongo wewe kaziyako ni uchawatu huna hofu ya mungu ,nani kaiweka serikali ya ccm,ongea na walio waweka

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda День тому

    Mbuge ni mmojatu nae ni mpina wote hao ni genge la ccm

  • @Saidi-zk7ou
    @Saidi-zk7ou День тому

    Eti ndo mgombea urais watu wachache kama mkutano wa diwani v

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda День тому

    Spika.wa wabunge mchongo kama mwigulu ni daktari basi udaktari haunahadhi

  • @user-vy8nx5ug5s
    @user-vy8nx5ug5s День тому

    Sendeka ubarikiwe shujaa wetu

  • @user-kg5yu4kg9p
    @user-kg5yu4kg9p День тому

    Mpina kaumiza wengi kwenye uwaziri wake akae pembeni

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 День тому

    Mazao yepi watakayo safitisha wakati maeneo Yao yanategwa mapoli tengefu Yani yatakuwa chini ya mamlaka nyingine Sasa iyo lami watajengewa nani

  • @MayalakusekwaNkwabi
    @MayalakusekwaNkwabi День тому

    Tatizo Bunge limejaa CCM !

  • @MichealMahina
    @MichealMahina День тому

    Oo

  • @00P288
    @00P288 День тому

    TZ inahitaji chama cha vijana

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 День тому

    Hamuoni Aibu Wabunge Kuongelea Yaleyale Mwaka Hadi Mwaka?????? Aibu Kwa Wasomi Kama Njie.

    • @sindabahabwoyaanacret660
      @sindabahabwoyaanacret660 День тому

      Kwanini awasiongelee wakati tatizo halijaisha,mbona suala la maji,umeme na barabara linajadiliwa tangu uhuru

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc День тому

    Sendeka kwa maneno Yako hayo 2025 uwe MBUNGE wajamhuri kupitia CHADEMA 2:17 2:22

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku День тому

    Hata uongee unavyoongea hayo unayoongea yataishia hapohapo hakuna wakutashughulikia Kama serikali ingekua inapinga ushoga bhasi tungeona waziwazi

  • @MwesigePoul-bg4jd
    @MwesigePoul-bg4jd День тому

    Acha kujipendekeza

  • @ismailramadhani1649
    @ismailramadhani1649 День тому

    Ninyi mmeishiwa siku nyingi, siku police wakija kusema wakae pembeni halafu wawaachie uwanja ninyi na wale majamaa watawapiga kwenye Sanduku la kura mapema sana. Ww bado hujakua unahoji gari la kiongozi mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani hujui kwamba ile gari ilinunuliwa kwa kutumia Kodi za Wananchi?

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 День тому

    Mpumbavu wewe hata wewe ni jizi tu

  • @LorynNila
    @LorynNila День тому

    Aonsoke

  • @LorynNila
    @LorynNila День тому

    Aondoke

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke День тому

    Mpumbavu unataka cheo

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 2 дні тому

    Your talking full of rubbish as if you don’t know what is behind ccm , do you live in Oagadougou ,you know CAG report ,Loliondo ,ngorongoro ,Port and other resources and how maasai treated like refugees inside there territory,,stop thinking on your private hunger and shut down.

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 2 дні тому

    Hivi huyu ni nani mbona simfaham au chawa mpya

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 2 дні тому

    Tatizo lenu ccm mnajibu hoja ndogo viwanja ni vya uma ccm mmejimilikisha tu kama ni wakweli naomba mtujibu bandari madin gesi na mbuga za wanyama je hakuna mtanzania anayeweza kuindesha na kulipa kodi ? Nakama yupo kwann mmegawa kwa wageni?

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 дні тому

    Bwege kabisa

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 дні тому

    Jinga hili

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 дні тому

    SAF SANA MAMBO IMECHEMUKA😂😂😂❤❤❤

  • @richkonga
    @richkonga 2 дні тому

    Mwamba unakumbusha machungu

  • @YotamMoshi
    @YotamMoshi 2 дні тому

    Hamna kitu unacho kusema hapo bora unyamaze2

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 дні тому

    INJI YENU BATANZANIA MULIPEWA NA MUNGU MI NA FURAHIAKA TU MA WIMBO ZENU acsenti